TEHRAN (IQNA)- Hauli ya marhum Sheikh Abdillahi Nassir, mwanachuoni mtajika wa Kiislamu Afrika Mashariki imefanyika mjini Nairobi, Kenya.
Habari ID: 3475024 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/08
TEHRAN (IQNA)- Umati mkubwa wa Waislamu umeshiriki katika mazishi ya Marhum Sheikh Abdillahi mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3474799 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12